CHAMA CHA MAPINDUZI HQ

 

CCM yatangaza sekretarieti Mpya

Mjema ambadili Shaka

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chini ya Mwenyekiti wake Dk Samia Suluhu Hassan imeteua wajumbe saba akiwemo Sophia Mjema ambae ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Mjema, anachukua nafasi ya Shaka Hamdu Shaka.

Pia, wajumbe wengine ni Daniel Chongolo ambae anaendelea na nafasi yake ya Katibu Mkuu, Anamringi Macha Naibu Katibu Mkuu Bara, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar ni Said Mohamed 

Wengine ni Dkt. Frank Haule ambae amekua Katibu wa Uchumi na Fedha, Mbarouk Nassor Mbarouk amekua

Mkuu wa Idara ya Kimataifa na Issa Haji Gavu Mkuu wa Idara ya Organaizeisheni

Aidha, wajumbe wa Kamati Kuuu Bara ni Mizengo Pinda, Hassan Wakasuvi na Halima Mamuya 


Imetolewa na idara ya habari uvccm kata ya Dunda

Post a Comment

0 Comments